Isa. 57:10 SUV

10 Ulikuwa umechoka kwa ajili ya urefu wa njia yako; lakini hukusema, Hapana matumaini; ulipata kuhuishwa nguvu zako; kwa sababu hiyo hukuugua.

Kusoma sura kamili Isa. 57

Mtazamo Isa. 57:10 katika mazingira