Isa. 57:11 SUV

11 Tena ni nani uliyemwogopa na kumhofu, hata ukasema uongo, wala hukunikumbuka mimi, wala kuweka hayo moyoni? Je! Mimi sikunyamaza tangu zamani, hata huniogopi?

Kusoma sura kamili Isa. 57

Mtazamo Isa. 57:11 katika mazingira