Isa. 58:11 SUV

11 Naye BWANA atakuongoza daima, ataishibisha nafsi yako mahali pasipokuwa na maji, na kuitia nguvu mifupa yako; nawe utakuwa kama bustani iliyotiwa maji, na kama chemchemi ambayo maji yake hayapungui.

Kusoma sura kamili Isa. 58

Mtazamo Isa. 58:11 katika mazingira