Isa. 58:12 SUV

12 Na watu wako watapajenga mahali palipokuwa ukiwa; utaiinua misingi ya vizazi vingi; nawe utaitwa, Mwenye kutengeneza mahali palipobomoka; na, Mwenye kurejeza njia za kukalia.

Kusoma sura kamili Isa. 58

Mtazamo Isa. 58:12 katika mazingira