Isa. 58:6 SUV

6 Je! Saumu niliyoichagua, siyo ya namna hii? Kufungua vifungo vya uovu, kuzilegeza kamba za nira, kuwaacha huru walioonewa, na kwamba mvunje kila nira?

Kusoma sura kamili Isa. 58

Mtazamo Isa. 58:6 katika mazingira