Isa. 58:7 SUV

7 Je! Siyo kuwagawia wenye njaa chakula chako, na kuwaleta maskini waliotupwa nje nyumbani kwako? Umwonapo mtu aliye uchi, umvike nguo; wala usijifiche na mtu mwenye damu moja nawe?

Kusoma sura kamili Isa. 58

Mtazamo Isa. 58:7 katika mazingira