Isa. 59:12 SUV

12 Maana makosa yetu yamezidi kuwa mengi mbele zako, na dhambi zetu zashuhudia juu yetu; maana makosa yetu tunayo pamoja nasi, na maovu yetu tumeyajua;

Kusoma sura kamili Isa. 59

Mtazamo Isa. 59:12 katika mazingira