Isa. 60:2 SUV

2 Maana, tazama, giza litaifunika dunia,Na giza kuu litazifunika kabila za watu;Bali BWANA atakuzukia wewe,Na utukufu wake utaonekana juu yako.

Kusoma sura kamili Isa. 60

Mtazamo Isa. 60:2 katika mazingira