Isa. 60:21 SUV

21 Watu wako nao watakuwa wenye haki wote,Nao watairithi nchi milele;Chipukizi nililolipanda mimi mwenyewe,Kazi ya mikono yangu mwenyewe,Ili mimi nitukuzwe.

Kusoma sura kamili Isa. 60

Mtazamo Isa. 60:21 katika mazingira