Isa. 60:6 SUV

6 Wingi wa ngamia utakufunika,Ngamia vijana wa Midiani na Efa;Wote watakuja kutoka Sheba;Wataleta dhahabu na uvumba;Na kuzitangaza sifa za BWANA.

Kusoma sura kamili Isa. 60

Mtazamo Isa. 60:6 katika mazingira