Isa. 60:5 SUV

5 Ndipo utakapoona na kutiwa nuru,Na moyo wako utatetemeka na kukunjuka;Kwa kuwa wingi wa bahari utageuzwa kukujia,Utajiri wa mataifa utakuwasilia.

Kusoma sura kamili Isa. 60

Mtazamo Isa. 60:5 katika mazingira