Isa. 61:11 SUV

11 Maana kama nchi itoavyo machipuko yake, na kama bustani ioteshavyo vitu vilivyopandwa ndani yake; ndivyo Bwana MUNGU atakavyootesha haki na sifa mbele ya mataifa yote.

Kusoma sura kamili Isa. 61

Mtazamo Isa. 61:11 katika mazingira