Isa. 62:1 SUV

1 Kwa ajili ya Sayuni sitanyamaza, na kwa ajili ya Yerusalemu sitatulia, hata haki yake itakapotokea kama mwangaza, na wokovu wake kama taa iwakayo.

Kusoma sura kamili Isa. 62

Mtazamo Isa. 62:1 katika mazingira