Isa. 62:10 SUV

10 Piteni, piteni, katika malango;Itengenezeni njia ya watu;Tutieni, tutieni barabara; toeni mawe yake;Twekeni bendera kwa ajili ya kabila za watu.

Kusoma sura kamili Isa. 62

Mtazamo Isa. 62:10 katika mazingira