Isa. 62:11 SUV

11 Tazama, BWANA ametangaza habari mpaka mwisho wa dunia,Mwambieni binti Sayuni,Tazama, wokovu wako unakuja;Tazama, thawabu yake i pamoja naye,Na malipo yake yako mbele zake.

Kusoma sura kamili Isa. 62

Mtazamo Isa. 62:11 katika mazingira