Isa. 65:10 SUV

10 Na Sharoni itakuwa zizi la makundi ya kondoo, na bonde la Akori mahali pa kulala makundi ya ng’ombe, kwa ajili ya watu wangu walionitafuta.

Kusoma sura kamili Isa. 65

Mtazamo Isa. 65:10 katika mazingira