Isa. 65:9 SUV

9 Nami nitaleta uzao toka Yakobo, na mrithi wa milima yangu toka Yuda, na mteule wangu atairithi, na watumishi wangu watakaa huko.

Kusoma sura kamili Isa. 65

Mtazamo Isa. 65:9 katika mazingira