Isa. 65:22 SUV

22 Hawatajenga, akakaa mtu mwingine ndani yake; hawatapanda, akala mtu mwingine; maana kama siku za mti ndivyo zitakavyokuwa siku za watu wangu, na wateule wangu wataifurahia kazi ya mikono yao muda wa siku nyingi.

Kusoma sura kamili Isa. 65

Mtazamo Isa. 65:22 katika mazingira