Isa. 65:23 SUV

23 Hawatajitaabisha kwa kazi bure, wala hawatazaa kwa taabu; kwa sababu wao ni wazao wa hao waliobarikiwa na BWANA, na watoto wao pamoja nao.

Kusoma sura kamili Isa. 65

Mtazamo Isa. 65:23 katika mazingira