Isa. 66:1 SUV

1 BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu; mtanijengea nyumba ya namna gani? Na mahali pangu pa kupumzikia ni mahali gani?

Kusoma sura kamili Isa. 66

Mtazamo Isa. 66:1 katika mazingira