Isa. 66:10 SUV

10 Furahini pamoja na Yerusalemu, shangilieni kwa ajili yake, ninyi nyote mmpendao; furahini pamoja naye kwa furaha, ninyi nyote mliao kwa ajili yake;

Kusoma sura kamili Isa. 66

Mtazamo Isa. 66:10 katika mazingira