Isa. 66:9 SUV

9 Je! Mimi nilete wana karibu na kuzaliwa, nisizalishe? Asema BWANA; mimi nizalishaye, je! Nilifunge tumbo? Asema Mungu wako.

Kusoma sura kamili Isa. 66

Mtazamo Isa. 66:9 katika mazingira