Isa. 66:8 SUV

8 Ni nani aliyesikia neno kama hili?Ni nani aliyeona mambo kama haya?Je! Nchi yaweza kuzaliwa siku moja?Taifa laweza kuzaliwa mara?Maana Sayuni, mara alipoona utungu,Alizaa watoto wake.

Kusoma sura kamili Isa. 66

Mtazamo Isa. 66:8 katika mazingira