Isa. 66:23 SUV

23 Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Isa. 66

Mtazamo Isa. 66:23 katika mazingira