Isa. 66:24 SUV

24 Nao watatoka nje na kuitazama mizoga ya watu walioniasi; maana funza wao hatakufa, wala moto wao hautazimika nao watakuwa chukizo machoni pa wote wenye mwili.

Kusoma sura kamili Isa. 66

Mtazamo Isa. 66:24 katika mazingira