Isa. 66:4 SUV

4 Mimi nami nitachagua mapigo yao, nitaleta hofu zao juu yao; kwa sababu nilipoita, hawakuitika; na niliponena, hawakusikia; bali walifanya yaliyo maovu machoni pangu, na kuyachagua nisiyoyafurahia.

Kusoma sura kamili Isa. 66

Mtazamo Isa. 66:4 katika mazingira