Isa. 66:5 SUV

5 Lisikilizeni neno la BWANA, ninyi mtetemekao kwa sababu ya neno lake; Ndugu zenu wawachukiao ninyi, waliowatupa kwa ajili ya jina langu, wamesema, Na atukuzwe BWANA, tupate kuiona furaha yenu; lakini watatahayarika.

Kusoma sura kamili Isa. 66

Mtazamo Isa. 66:5 katika mazingira