Isa. 8:8 SUV

8 naye atapita, atapita kwa kasi na kuingia Yuda; atafurika na kupita katikati, atafika hata shingoni; na kule kuyanyosha mabawa yake kutaujaza upana wa nchi yako, Ee Imanueli.

Kusoma sura kamili Isa. 8

Mtazamo Isa. 8:8 katika mazingira