Isa. 8:9 SUV

9 Fanyeni ghasia, enyi kabila za watu,Nanyi mtavunjwa vipande vipande;Tegeni masikio, ninyi nyote wa nchi zilizo mbali;Jikazeni viuno, nanyi mtavunjwa vipande vipande;Jikazeni viuno, nanyi mtavunjwa vipande vipande.

Kusoma sura kamili Isa. 8

Mtazamo Isa. 8:9 katika mazingira