Isa. 9:5 SUV

5 Maana silaha zote za mtu mwenye silaha wakati wa mshindo, na mavazi yaliyofingirishwa katika damu, yatakuwa tayari kuteketezwa, yatakuwa kuni za kutiwa motoni.

Kusoma sura kamili Isa. 9

Mtazamo Isa. 9:5 katika mazingira