Isa. 9:6 SUV

6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,Tumepewa mtoto mwanamume;Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;Naye ataitwa jina lake,Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu,Baba wa milele, Mfalme wa amani.

Kusoma sura kamili Isa. 9

Mtazamo Isa. 9:6 katika mazingira