Ezekieli 1:9 BHN

9 Ncha za mabawa yao ziligusana kila bawa na bawa lingine. Waliposogea, upande wowote ule, walikwenda mbele moja kwa moja bila kugeuza miili yao.

Kusoma sura kamili Ezekieli 1

Mtazamo Ezekieli 1:9 katika mazingira