Ezekieli 10:17 BHN

17 Waliposimama, magurudumu nayo yalisimama; hao walipopaa juu, magurudumu nayo yalipaa pamoja nao. Roho ya hao viumbe ilikuwa pia katika magurudumu hayo.

Kusoma sura kamili Ezekieli 10

Mtazamo Ezekieli 10:17 katika mazingira