Ezekieli 11:17 BHN

17 “Basi, waambie kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitawakusanya toka miongoni mwa watu mnakokaa. Nitawakusanya kutoka nchi ambako mlitawanywa. Nitawarudisha nchini Israeli.

Kusoma sura kamili Ezekieli 11

Mtazamo Ezekieli 11:17 katika mazingira