Ezekieli 11:19 BHN

19 Nitawapeni moyo mpya na kuweka roho mpya ndani yenu. Nitauondoa ule moyo mgumu kama jiwe na kuwapa moyo wa utii,

Kusoma sura kamili Ezekieli 11

Mtazamo Ezekieli 11:19 katika mazingira