Ezekieli 13:17 BHN

17 “Na sasa, ewe mtu, wageukie wanawake wa taifa lako ambao wanatabiri mambo ambayo wameyawaza wao wenyewe. Tamka unabii dhidi yao

Kusoma sura kamili Ezekieli 13

Mtazamo Ezekieli 13:17 katika mazingira