Ezekieli 14:13 BHN

13 “Wewe mtu! Taifa fulani likitenda dhambi kwa kukosa uaminifu kwangu, mimi nitanyosha mkono wangu kuliadhibu. Nitaiondoa akiba yake ya chakula na kuliletea njaa. Nitawaua watu na wanyama wake.

Kusoma sura kamili Ezekieli 14

Mtazamo Ezekieli 14:13 katika mazingira