Ezekieli 14:20 BHN

20 Na hata kama Noa, Danieli na Yobu wangelikuwa humo, kama niishivyo mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, kweli hawangeweza kumwokoa hata mtoto wao mmoja wa kiume au wa kike. Wangeyaokoa tu maisha yao wenyewe kwa uadilifu wao.

Kusoma sura kamili Ezekieli 14

Mtazamo Ezekieli 14:20 katika mazingira