Ezekieli 16:17 BHN

17 Vito vyako vizuri vya dhahabu na fedha nilivyokupa, ulivitwaa, ukajifanyia sanamu za wanaume upate kufanya uzinzi nazo.

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:17 katika mazingira