Ezekieli 16:27 BHN

27 Basi, niliunyosha mkono wangu kukuadhibu. Nilipunguza chakula chako, nikakuacha kwa maadui zako, binti za Wafilisti ambao waliona aibu mno juu ya tabia yako chafu mno.

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:27 katika mazingira