Ezekieli 16:36 BHN

36 Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nakuambia kwamba, wewe umetapanya fedha, umefunua uchi wako ili kuzini na wapenzi wako, umeziabudu sanamu zako zote za miungu na kuzitolea damu ya watoto wako.

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:36 katika mazingira