Ezekieli 16:38 BHN

38 Nitakuhukumu kama wanavyohukumiwa wanawake wanaovunja ahadi ya ndoa au wauaji; nitakuhukumu kwa adhabu ya kifo kwa hasira na kwa ajili ya wivu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:38 katika mazingira