Ezekieli 16:42 BHN

42 Hivyo, nitaitosheleza ghadhabu yangu juu yako, wivu niliokuwa nao juu yako utakwisha; nitatulia na wala sitaona hasira tena.

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:42 katika mazingira