Ezekieli 16:45 BHN

45 Kweli wewe ni mtoto wa mama aliyemchukia mumewe na watoto wake; wewe ni sawa na dada zako waliowachukia waume zao na watoto wao. Mama yako alikuwa Mhiti na baba yako alikuwa Mwamori.

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:45 katika mazingira