Ezekieli 16:55 BHN

55 Dada zako, Sodoma na Samaria, pamoja na binti zao watairudia hali yao ya hapo awali. Hata wewe na binti zako mtairudia hali yenu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:55 katika mazingira