Ezekieli 16:57 BHN

57 Je, hukufanya hivyo kabla uovu wako haujafichuliwa? Sasa umekuwa kama Sodoma. Umekuwa kitu cha dhihaka mbele ya binti za Edomu na jirani zake wote, na binti za Wafilisti jirani zako ambao walikuchukia.

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:57 katika mazingira