Ezekieli 16:7 BHN

7 ‘Ishi, na ukue kama mmea shambani.’ Nawe ukakua na kurefuka hata ukawa msichana. Matiti yako yakakua na nywele zako nazo zikakua. Lakini ulikuwa uchi kabisa.

Kusoma sura kamili Ezekieli 16

Mtazamo Ezekieli 16:7 katika mazingira