Ezekieli 18:25 BHN

25 “Lakini nyinyi mwasema, ‘Hicho afanyacho Mwenyezi-Mungu si sawa!’ Sikilizeni sasa, enyi Waisraeli: Je, ninachofanya mimi si sawa? Mnachofanya nyinyi ndicho kisicho sawa.

Kusoma sura kamili Ezekieli 18

Mtazamo Ezekieli 18:25 katika mazingira