Ezekieli 18:4 BHN

4 Jueni kwamba uhai wote ule ni wangu, uhai wa mzazi na uhai wa mtoto. Yeyote anayetenda dhambi, ndiye atakayekufa.

Kusoma sura kamili Ezekieli 18

Mtazamo Ezekieli 18:4 katika mazingira