Ezekieli 18:6 BHN

6 kama hashiriki tambiko za sanamu za miungu mlimani wala kuzitegemea sanamu za miungu ya Waisraeli, kama hatembei na mke wa jirani yake wala kulala na mwanamke wakati wa siku zake,

Kusoma sura kamili Ezekieli 18

Mtazamo Ezekieli 18:6 katika mazingira